Click below to see how we are giving back to our community!

Mawazo Shabani
Back

Shabani, Mawazo

September 09, 2023


Date of Service: September 23, 2023

MAWAZO SHABANI, beloved wife of the late Ahulu Bahengele, passed away at home, on Saturday, September 9, 2023 at the age of 72 years.

A Funeral Service will be held at GOSPEL FIRE EVANGELICAL CHURCH, 535 – 13 Street North, Lethbridge, AB, on Saturday, September 23, 2023 at 10:00 A.M. with Pastor James Phanuel officiating, with a Viewing to follow.

Mawazo will be laid to rest in Royal View Cemetery, 5920 – 13 Street North, Lethbridge, AB, at 1:30 P.M.

In memory of Mawazo, donations would be greatly appreciated to Cornerstone Funeral Home to assist the family with funeral expenses.

MAISHA YA MAREHEMU. 

JINA; marehemu aliitwa BIANGWA MAWAZO SHABANI.(WAfamilia ya bamate/bashashilo)

-KUZALIWA; alizLiwa pa RUTUMU BURUNDI 1943.

-JINA LA BABA; aliitwa SHABANI ABWEKA wa jamaa la bamate bashashilo.

-JINA LA MAMA; aliitwa ANJELANI ISHIABWE wa jamaa la basango/bashimmbembuci.

-NDOA; aliolewa na AHULU BAHENGELE wa jamaa la bashimmuma banenge.

-KUZAA; alizaa watoto nane (8) M2 na F6.

Waliohai ni 7 aliyekufa ni 1.

-WAJUKUU; ni 50 (waliohai 46 na waliokufa 4)

-VITUKUU; ni 2O.

-JUMLA YA FAMILIA YOTE YA MAREGEMU NI: watu78.(waliohai ni73 na waliokufa ni 5.)

-KAZI YA MAREHEMU; alikuwa ni mkulima.

-MAGONJWA; alisumbuliwa na ugonjwa wa KANSA na ndio uliomsababishia kifo.

.MAISHA YA JUMLA NI;miaka 80.

  Mungu ahilaze roho yake mahali pema peponi


Send Private Condolences

Fill out the form below and your condolence will be passed on to the family.

Required
Required
Required
Required
Required

Thank you!